Search

Mawasiliano kwa Umma

Tutafakari pamoja juu ya fani hii.

Journalistic Ethics: Communications Studies - Maadili ya Uandishi wa habari

Taught by Jim Newton, editor-at-large of the Los Angeles Times.

This course is an intensive examination of ethical and policy issues arising from interaction of media institutions (print, film, broadcasting, and new technologies) and societal institutions (Congress, federal agencies, courts, Presidency, schools, churches, political action groups, advertisers, and audiences).

Journalistic Ethics

Changamoto za fani ya uandishi wa habari - Challenges of being a mass communicator and creating credibility and authenticity

- Je tukiwa ni waandishi wa habari miongoni wa majukumu yetu tunapaswa kujitoa na kuwa na malengo katika kile tunachokifikisha kwa jamii. Lengo hapa ni kuwezesha jamii ikukumbuke umeifanyia nini ili pale unapokosekana jamii ikukumbuke kwa mchango wako. Hivi ni kweli tunafanya utafiti katika yale tunayoyaandika na kuyatangaza kutipitia vyombo vyetu vya habari? Hapa zaidi ni kutaka kuona kama kweli tunafuatilia na kuona jamii imefaidika vipi na kazi zetu za kila siku.


Hii ni changamoto kwa kila mwandishi binafsi, taasisi husika na jamii ya waandishi kwa ujumla wake ni vizuri tukajiuliza, tumesaidia vipi jamii yetu ya Tanzania. Tuna matatizo mengi kuu likiwa ni umasikini. Asilimia zaidi ya sabini 70% tunaishi vijijini, je tunapata haki yetu ya habari na taarifa au tunapewa tu bila ya kupenda? Tujadili, maoni na ushauri wako ni muhimu.
  
Kilimo na uchumi - The Story of Agriculture and the Green Economy
Ni vizuri tukatafakari, kuna habari nyingi za kuwaambia wananchi na kusaidia kukuza uchumi wa Tanzania. 

The future of our world depends on addressing global challenges now. We need to create sustainable livelihoods, feed a growing population and safeguard the environment. We need to make the global economy green.
Kilimo na uchumi 

No comments:

At class - MUM

At class - MUM
Mazoezi ya uhariri wa picha kwa kutumia kompyuta Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro - MUM

Mjadala studio

Mjadala studio
Wanafunzi wa shahada ya kwanza mawasiliano kwa umma mazoezini studio za Muslim University of Morogoro